Tuesday, September 3, 2013

HIZI NDIZO SARE ZA JESHI LA WANANCHI ZILIZOKAMATWA KIGAMBONI ZIKIMILIKIWA NA MWANAMKE ASIYE MWANAJESHI

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salam limemkamata  Mwanadada Saida Mohamed Mkazi wa Kigamboni akiwa na sare mbalimbali za jeshi la wananchi .

Ingawa mpaka sasa haijafahamika mtuhumiwa huyo amewezaje kuwa na Sare za Jeshi la Wananchi ikiwa yeye si Mwanajeshi wa Jeshi hilo na hajafahamika yeye anamatumizi gani nazo Sare hizi lakini kwa kuwa yupo chini ya Jeshi la Polisi tunaimani kuwa Tutapata Majibu ya Kutosha na yenye kukidhi haja.

0 comments:

Post a Comment