Msanii Diamond Platnum kama ilivyokawaida yake ya kutoa shukrani kwa Fans wake kupitia Ukurasa wake wa Facebook na Kumshukuru mungu kumuongoza katika maisha ya kila siku anayopitia na aliyopitia mpaka kufikia hapo...! alipo ,Leo tena amerudia kushukuru na kuwaombea wale wanaotamai kuwa kama yeye wazidi kupata faraja .
“Kwa Furaha yako na Upendo wako kwangu,nawe ukaruhusu mimi kuiona siku ya Leo...Ee mwenyezi mungu,wape faraja na nguvu wale wote waliotamani kuwa kama mimi Leo,nami nakuabudu na kukuheshimu,mpaka mwisho wa pumzi yangu hapa Duniani...Ijumaa Kareem ndugu zangu..”
Mwisho
wa Kunukuu.







0 comments:
Post a Comment