3:06 AM
Uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta ( JKIA) uliopo Nairobi nchini Kenya
umefungwa kwa muda usiojulikana baada ya moto mkubwa kuunguza eneo
wanalotumia wageni wanaowasili uwanjani hapo.
Inadaiwa kuwa, moto huo
ulianza saa 11 alifajiri,
vikosi vya zimamoto na
uokoaji vya mamlaka mbalimbali vimefanikiwa kuuzima, lakini hakuna
ndege zinazoruhusiwa kutua au kuruka uwanjani hapo.
0 comments:
Post a Comment