Taasisi
ya Chakula na Lishe Tanzania imetoa wito kwa wananchi na kuwataka
kutotumia chupa za kulisha watoto, zifahamikazo kama chuchu za
watoto.....
Wataalamu
hao wamedai kuwa Chuchu hizo huwasababishia magonjwa na hatimaye vifo
kwa watoto wadogo.
Wakitoa
maelezo juu ya mbadala wa chuchu hizo wataalamu hao wamewashauri
wazazi watumie vikombe vilivyosafishwa kwa sabuni na majimoto
kumlishia mtoto, ili aweze kukuwa akiwa na afya njema.
0 comments:
Post a Comment