Tuesday, July 2, 2013

NEYMAR KUFANYIWA UPASUAJI WA KOO IJUMAA HIII



Nyota mpya wa Barcelona ambae ni raia wa Brazil Neymar na defender Jordi Alba wote wawili watafanyiwa oparesheni ya koo kwa ajiri ya kuwatoa tonsils.


Oparesheni hiyo inatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa ya Tarehe 6 mwezi huu na watapumzika kwa siku kumi siku ambazo watakuwa wakisubiri kuludi katika hali yao ya kawaida .

Msemaji wa Club alizungumza siku ya jumatatu jana na kusema kuwa Neymar atafanyiwa oparesheni hiyo Rio de Janeiro na mwakilishi wa FC Barcelona’s kitengo cha huduma za kiafya atakuwepo.

Barcelona's 24-year-old defender Alba  nae atatolewa  tonsils siku moja na Neymar katika Clinic ya afya karibu na Barcelona.

Lakini wanatarajiwa kurudia katika hali ya kawaida baada ya siku kumi toka siku ambayo watafanyiwa upasuaji huo.

 

0 comments:

Post a Comment