Baada ya kuchezea Makopo katika show ya Kilimanjaro Tour
Mjini Dodoma siku ya Jumamosi Msanii Ommy Dimpoz amedai kuwa ukirusha kopo
anakwepa na akidaka anakupa nalo la uso maneno hayo Ommy ameyatoa alipokuwa akimjibu
Salama Jabir walipokuwa wakizungumza katika
katika mitandao ya Kijamii muda si mrefu.
Salama
Jabir hapa anamwambia Ommy Habari Ya Mjini Una Style Mpya Ya
Kucheza Huku Unakwepa
Nae Ommy
alimjibu
Hiviii Huku Hakuna Makopo Antiii akacheka na kusema kuwa hiyo ni Makopo style
ukirusha Nakwepa nikilidaka nakupa nalo la uso
Salama
Jabir alimwambia Ha Ha...Huweziii,Utadakaje Wakati Unazungusha?!We Kwepa
Tu,Burudani Huku Inaendelea,Ile Video Nimeona...We Mbaya.







0 comments:
Post a Comment