Monday, June 24, 2013

JE UNAJUA JOKATE AMESEMA NINI JUU YA WANAVYUO WALIOMALIZA MASOMA NA HAWAJAPATA KAZI ? BOFYA HAPA NA USOME UJUMBE HUO.


Huu ni ujumbe kwa wale wote ambao wamefanikiwa kumaliza masomo na hawajapata ajira mpaka sasa.


Naomba tusikate tamaa kamwe!Tuendelee kutafuta huku tukimshirikisha Mungu katika kila hatua.

Tuelewe kwamba sio makusudi ya Mungu kukufanya usome halafu uishie kukosa ajira.

Kila kitu kina wakati wake kwani yeye hachelewi wala hawahi.
Ipo siku utafanikiwa na maisha yako yatanyooka!

0 comments:

Post a Comment