Mwite jay maswagger
kwa wale waliokuwa wakitizama BSS Mwaka jana mnaweza kumfahamu kwa jina la Juma
ambae aliweza kufika mpaka hatua ya Top 20 katika Mashindano hayo .
Jay Maswagger ndie mlidhi wa marehemu
Sharimilionea kifani kwani nae anafanya kazi ya Muziki kwa stlye ile ile
alikuwa akifanya Sharo na kuonekana kuitendea haki kulingana na uwezo wake wa
kuimba na kuchekesha pia.
Jay maswagger alikuwa ni rafiki na
Sharomilionea kipindi ambacho bado walikuwa hawajatoka kifani lakini kwa sasa
Maswagger amedodosha kichupa chake kinachokwenda kwa JIna la YOTE MAPENZI akiwa amefanya kwa Producer
C9 .






0 comments:
Post a Comment