DIVA |
Mtangazaji
kutoka Redio moja hapa mjini ambae alishawahi kuwa member wa kundi
East Coast Team chini ya Kamanda Mkuu KING CRAZY GK anajiita Mhariri
Kutoka gazeti kuu ya Makolokocho leo amefunguka na kumuomba Radhi
Mtangazaji mwenzake anaepiga nae mzigo katika kituo hicho kutokana na
kitendo cha Mhariri huyo kuvujisha Siri ya MAPENZI YAKE NA CMB PREZZO
kutoka nchini Kenya.
Katika
mahojiano kati ya Mhariri na CMB yalionesha wazi kuwa watu hao wana
mahusiano ya kimapenzi au wanatarajia kuingia katika mapenzi,maana
Prezzo alikaliliwa akisema kumkosa Diva atakuwa bonge la
mshamba,lakini pia ameonesha dhahiri kumuitaji binti huyo ingawa
amesema hawezi kabsaa kuziba nafasi ya Marehemu Goldie kwani alikuwa
na nafasi kubwa sana moyoni mwake yeye Prezzo.
Inasemekana
baada ya taarifa hizi kuwafikia maraia binti huyo alikosa Raha,amani
na kushinda akilia tu siku nzima ya jana hivyo Mhariri ameludi
kumpigia magoti na kumuomba Radhi kwa kitendo hicho kwani hakuwa na
jinsi kwakua nae alikuwa kazini
![]() |
SOUDY BROWN |
“MY
PATNER AND TEAM MATE DIVA LOVE NESS LOVE NAOMBA RADHI KWA
KILICHOTOKEA JANA, NASKIA HAUKUA POA SIKU NZIMA UMELIA, BAADA YA ZILE
TAARIFA KUTAPAKAA KUPITIA GAZETI, HATA MM PIA CJISKII POA TENA, AM
SORRY MWENZAKO NILIKUA KAZINI, YAH ,,, NIMEKUMBUKA SENTENCE
UNAYOPENDAGA KUITAMKA MARA KWA MARA LET ME QUOTE YA “BE
PROFESSIONAL” “
0 comments:
Post a Comment