Friday, May 10, 2013

MASUGANGE SIUZI MWILI WANGU


Video queen marafu kwa jina la Agnes masugange alieuza sura kupitia kichupa cha Belle 9 Masogange na kichupa kingine Magume gume cha Barnabas amekana kwenda kufanya biashara ya mwili wake nchini South Afrika.

Masugange amechomoa baada ya siku chache zilizopita kutapaa skendo kuwa yupo Nje ya Nchi huku kikielezwa kuwa amekwenda pande zile kibiashara zaidi na hivi ndivyo alivyotiririka pindi alipohojiwa na moja ya Team ya watu wa mtandao wa kijamiiii

''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda south kuuza ,me sina dhiki ya kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa"na ,picha niliyopiga siyo ya uchi ile hata nikikuonesha,nilikuwa nimevaa nguo kabisa ,kuna uchi nimeonesha pale?

Na mtu kuenda South ndio ameenda kujiuza?Mimi nina biashara zangu nafanya na wanaosema hivyo hawanisaidii chochote,hakuna mtanzania anayeninunulia nguo,hayupo anayenipa pesa waongee tu''

Alimaliza kwa kusema hayo.Ngoja nami Mpita Njia Nimuache Masugange na Biashara zake bwanaaaaa wewe wazijua? Bhasssssss KAUSHAAAAAAAAaaaahhh

0 comments:

Post a Comment