Zikiwa
zimebaki siku kadhaa kwa mwanamuziki Izzo Bussines kuwakilisha
vilivyo katika viunga vya nyumbani Mbeya,Mama mzazi wa Izzo amempa
shavu mwanae afanikiwe katika show hiyo atakayoifanya yeye na mkali
wa wa miondoko ya Rap kutoka Morogoro Stamina.
Baada
ya ujumbe huo Izzo alikalili moja ya misitari yake inayosema
Baba,mama wananiombea niweze fanikiwa,hata watu wa mbeya hivyo hivyo
pia.
0 comments:
Post a Comment