Mbunge
wa Kigoma Kasikazini Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa mabomu yaliyopo
katika maghara ya jeshi yanalipuka kwa sababu siraha hizo hazifanyiwi
kazi.
Zitto
amesema hayo baada ya kuona serikali ya Jamhuri ya muungano wa
Tanzania ikiwa lea lea Malawi kutokana na mgogoro wa kugombea mpaka
uliopo katika Ziwa Nyasa.
Zitto
ameyasema hayo leo akimwambia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa kupitia njia ya mtandao wa kijamii
“mnalea
lea sana ninyi. Yani yani nyingi za nini? Mwambie CoC aseme
Nia...., Sababu...., Uwezo..... tunao”
akiendelea
kumjuza Waziri Membe zittto aliendelea kusema kuwa wameshaanza kusema
Waziri wao wa foreign chiume
eti sio Mmalawi Bali Mtanzania na anakupa Siri wewe”
zitto
aliendelea kumhoji Waziri huyo mabomu yanalipuka sababu hayafanyiwi
kazi. Kaka hili unajua. @bernardmembe
tusiyaharibu, tukayatumie.







0 comments:
Post a Comment