
katika sakata linaloendelea hapa mjini kati ya mwanadada jaydee na kituo cha Redio ya cha Clouds pamoja na baadhi ya wafanayakazi wa Redio hiyo kuwa katika ugomvi wa hali ya juu wa masilahi na kuhusu muziki wa bongo.
mwanadada ladyjaydee leo aliendelea kurusha makombora kwa uongozi wa redio hiyo pamoja na wafanyakazi wake ambao hajawataja kimajina japo katika jamii wanafahamika vizuri na picha nzima leo ilikuwa hiviiiiiiiii
Aliamua kumaliza njaa zake zote humo kaka mkuu
Anaconda hawezi kuja uraiani tu akaanza kula watu hovyo,
ukimuona mjini ujue walimpekenyua kwenye makazi yake hadi akawafuata. Si
mlinianza
Wanune wapasuke limewakaa, wanalo hilo
Nililipia matangazo 240,000 hayakupigwa, na hela yangu
hawakurudisha, sbb sijaijua ila hiyo naiita dhuluma. Mngesema tu km hamtak
nsingeleta
Wanataka kuona tuna fail tunaokota makopo washangilie
hamna kuwaachia
Jamani acheni maswali mengi bs tweets zote zinajielezea
nyie someni mu enjoy na mtafakari. Wote mnajua namuongelea nani msijifanye
hamjui
Kwa leo nakomea hapa, tarudi tena kesho na #Jotohasira haya tuongee mengine yenye kuleta raha na amani






0 comments:
Post a Comment