| WACHEZAJI WA YANGA |
Timu ya Young Africans leo
imeingia kambini katika hosteli zilizopo makao makuu ya klabu mitaa ya
Twiga/Jangwnai mara baada ya mazoezi ya asubuhi yaliyofanyika katika uwanja wa
mabatini Kijitonyama,
ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya timu ya Ruvu
Shooting siku ya jumamosi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.






0 comments:
Post a Comment