Saturday, March 30, 2013

MAELEZO YA DIAMOND ALIPOFIKA GEITA JANA NA PICHA ZAKE

DIAMOND AKIWAFUATA FANS ZAKE 

Nikiwa mkoani Geita,Hotelini nimepumzika
Uongozi wa Hoteli ulikuja chumbani na kunijuza kuwa kuna
Umati wa watu upo chini umezingira Geti na kuzuia baadhi ya shuguli za hoteli kusimama kwa muda wa dakika kama 45 na kitu hivi...


wananchi hao walikua hapo wakijaribu kutafuta nafasi hata ya kuniona au wakibaatika kunishika hata mkono kabisa....kuonyesha jinsi gani nawapenda na kuwathamini mashabiki zangu ilinibidi nishuke chini na kwenda kuwasalim na kuwapa mkono wa ijumaa karim.



BAADA YA UONGOZI KUMCHOMOA RAISI WA WATANASHATI  ANAKWENDA KUSHOW ROVE SASA


AKIWASABAI FANS ZAKE

0 comments:

Post a Comment