Monday, May 20, 2013
RUAHA MARATHON IS BACK
10:20 PM
No comments
Mashindano ya mbio za riadha Jijini iringa yamayofahamika kama RUAHA MARATHON yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii ya Tarehe 25/5/2013 katika Jiji la Iringa na kukutanisha washiriki mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali .
Kwa mara ya kwanza mashindano hayo yalifanyika jijini iringa mwaka jana mwezi wa tano na kuchangia maendeleo ya mchezo wa riadhaa nchini Tanzania.lengo kuu la Mashindano ya mbio za riadha jijini iringa ni kutaka kukuza utalii katika hifadhi ya RUAHA iliyopo jijini Iringa.







0 comments:
Post a Comment