Kundi la muziki ambalo
makazi yake yapo Upanga likiongozwa na Kaka Mkubwa King Crazy GK
Limerudi katika Game na kuachia Wimbo Mpya unaokwenda kwa
Jina la
FIRE ambao umekutanisha Vichwa kama King Crazy
GK,SNARE,EFFECTOR
,SHERIFF huku wakiwa wamempa shavu mwanadada TANA katika Ngoma hiyo
ambayo imekuja kama Zawadi kwa Wapenzi wa Muziki wa Bongo Flava na Hi
Hop.
Kwa mujibu wa Chanzo
cha Habari Ngoma hii imemleta Kivingine tena Kaka Mkubwa King Crazy
GK kitu ambacho kitafanya Mashabiki wa muziki kuelewa na kukubali
kuwa EAST COST TEAM Never DIE.
0 comments:
Post a Comment