Kwa
mujibu wa chanzo hicho, wafanyabiashara maarufu wa jijini Dar na
baadhi ya waheshimiwa wabunge wamekuwa wakiwaibukia mastaa wanapokuwa
kambini wakirekodi filamu na kuwahonga fedha nyingi sanjari na
kuwanunulia magari ya kifahari ya kutembelea.
Inadaiwa
wanachofanya baadhi ya mastaa, hasa wakiwa kambini, hupiga picha
chafu wakiamini zina mvuto na kuzitundika BBM kwenye simu zao ambapo
wafanyabiashara na wabunge hao wanapoziona huweweseka na kuanza msako
wa kuwapata.
BOFYA
HAPA KUTIZAMA PICHA TATU ZA WADADA HAO WA BONGO MOVIE
http://kitalima.blogspot.com/2013/11/bongo-movie-photos.html







0 comments:
Post a Comment