HII
NI VIDEO INAYOONESHA MAISHA YA DIAMOND PLATNUM KABLA YA KUWA MAARUFU
ICHEKI HAPA.
Dogo
S Kide ndiye Dogo aliyejaa ujasiri na kujaribu kuwaeleza watanzania
Ukweli juu ya Maisha ya Diamond
Platnum yeye katika Wimbo huo amekili
wazi kuwa ni Mdogo wa Diamond Platnum hivyo anamjua vizuri kwa Tabia
zake toka akiwa Mdogo.
Kiuweli
inachekesha lakini kama yaliyozungumzwa humu yanauhalisia bhasi
yamegeuka Historia katika Maisha ya Diamond Platnum.
Bofya
Hapa Kuitazama Video Utaishiwa Mbavu







0 comments:
Post a Comment