Wednesday, October 23, 2013

TAZAMA SHOW YA WEMA SEPETU HAPA-IN MY SHOES

Show mpya hapa Town inayorushwa na kituo cha Televiseni cha EATV inayokwenda kwa jina la My Shoes inayoonyesha changamoto mbalimbali na maisha mwanadada Wema Sepetu huyapitia katika maisha ya kilasiku katika Harakati mbalimbali. Kipindi cha My Show kinarushwa kila siku ya Jumatano kuanzia saa Tatu na Nusu za Usiku katika Ting'a Namba moja kwa vijana.

0 comments:

Post a Comment