Monday, October 28, 2013

PSQUARE WATAFANYA SHOW LEADERS CLUB TANZANIA

Wakali wa Muziki kutoka Nigeria wanaotamba na Hits Song Kibao wanatarajiwa kufanya Show kali Tarehe 23 Mwezi wa 11 katika Viwanja vya LEADERS CLUB .

Wakali hao ambao wanatarajia kufanya Live Performace wakiwa na Band itakayocharaza muziki kwa masaa mawili mfululizo itashuhudiwa kwa kiingilio cha Advance kupitia M-pesa – Tsh 30,000 Kuanzia leo hadi Nov 17.

Kwa tiketi za Madukani itakuwa – Tsh 35,000 Kuanzia tarehe 18 Nov hadi Nov 23 saa 10 jioni huku kwa wale watakao lipa Kiingilio Mlangoni itakuwa ni Tsh 50,000.


Namna ya Kujipatia Tiketi ;Lipia tiketi ya tamasha la P-square kwa M-pesa uokoe usumbufu wa kulipa zaidi dukani au getini na upate muda wa maongezi wa Sh 1,000 BURE.
1. - Piga *150*00# kupata MENYU ya M-pesa
2. - Chagua LIPA KWA M-PESA
3. - Ingiza NAMBA YA MALIPO ambayo ni 111222
4. - Ingiza kiasi unacholipia: Mfano Sh 30,000 kwa tiketi moja

5. - Weka NAMBA YAKO YA SIRI ya M-pesa kisha Bonyeza OK.
Utapokea ujumbe Mfupi wenye kumbukumbu ya Malipo. Utachukua tiketi yako kuanzia tar 18 Nov kwenye sehemu zifuatazo. VODASHOP MLIMANI CITY, VODASHOP MASAKI, VODASHOP MILLENIUM TOWERS, VODASHOP SAMORA na VODASHOP QUALITY CENTER

KUMBUKA: Ukilipa kwa M-pesa ni Sh 30,000/= na mwisho wa kuuza tiketi kwa M-pesa ni tarehe 17 Nov, kuanzia tarehe 18 November tiketi zitauzwa Dukani kwa sh 35,000 mpaka tarehe 23 November saa 10 jioni, ukilipa getini siku ya tamasha ni Sh 50,000.
Together, Tunawakilisha!

0 comments:

Post a Comment