Msanii
Aunt Lulu ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga
Bongo C2C amenukuliwa katika Moja ya Interview aliyofanya na chombo
kimoja
cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata
faida.
Kauli
ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia
hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa
anakuwa amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao.
Baada
ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi
wa Habari kupitia Mitandao ya kijamii Sinta amefunguka na kumtolea
uvivu msanii huyo anedai kuwa ameriwa uroda kwa miaka mingi pasipo
kupata malipo yoyote.
“Hiki
ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa
kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo
chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine
tunaonekana vipi”
ni
wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya
kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake”
yaani
nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi
na ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God
forbid” (Quatation Source Sinta)








0 comments:
Post a Comment