Aliyekuwa Kipa Namba
moja na Nahodha wa Kikosi cha Taifa Stars Juma Kaseja amepata
majanga mengine baada ya Kuachwa na Taifa Stars baada ya Kocha
Kim
Poulsen kutangaza Kikosi cha Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)huku
Juma Kaseja akiwa hayupo katika Orodha ya Taifa Stars .
Ikumbukwe kuwa Kaseja
baada ya kumaliza mkataba wake na Simba Msimu wa Ligi uliopita
hakupata tena nafasi baada ya wekundu wa Msimbazi kumtema,lakini
naadaye ilianza mipango ya kumtafutia Timu Nje ya Nchi lakini nayo
haikuweza kuzaa matunda kutokana na zengwe za hapa na pale.







0 comments:
Post a Comment