Wengi
wao si makusudio yao kuvujisha Picha hizi kwa jamii lakini muda
mwingine kuna kupotea kwa vifaa ambavyo wamefanyia kazi hiyo hapo
ndipo kazi inapokuja kuanza,unabaki kujuta kwa kitu ambacho ulifanya
mwenyewe pasipo kulazimishwa na Mtu.
NOTE:Mwanamke
kujiheshimu na kutunza heshima yako inakujengea imani,upendo hata
udhamani katika jamii lakini ukijidhalau hautodhaminika wala
kuheshimika milele na daima utakuwa dalaja kuvusha wenzako kutoka
Point A na kuwapeleke Point B.
(Picha
kwa hisani ya Kalu G)








0 comments:
Post a Comment