MPITANJIALEO

Thursday, October 31, 2013

HUYU NDIYE MRITHI WA SHAROMILIONEA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA

5:12 AM    No comments
Kwa jina la Kisanii anafahamika kama Jay Maswagger alianza kufanya kazi ya muziki miaka ya nyuma kidogo akiwa na Marehemu Sharomillionea kabla ya kutambulika katika tasnia ya Movie na muziki hapa Tanzania. Mbali na kazi yake ya muziki pia anafanya katika kiwanda cha Filamu kama mwigizaji hasa mwenye vituko kama ambavyo Sharomillionea alikuwa akifanya hata aina ya muzuki ambao Jay Maswagger anafanya unafanana kabsa na muziki ambao alikuwa akiufanya Sharomilionea. Lakini mbalia na aina ya kazi ambazo kwa namna moja zimekuwa zikifanana ila hata Utanashati ni kama Sharomilionea pia wanafanana kama walikuwa ni ndugu au mtu na mdogo wake ingawa haikuwa hivyo. Pata Nafasi ya kuangalia Video yake hapa na ushuhudie hayo yote niliyoyasema.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

JOIN US ON FACEBOOK

https://www.facebook.com/gkitalima
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives
  • VIJANA WAFUNGWA MIAKA 120 KWA KUTEKA GARI LILIROBEBA MAITI
  • KAPUYA MATATANI: ADHIBITIWA NA KITOTO KINACHODAI ALIKIBAKA, AKAKIAMBUKIZA VIRUSI
  • HIII NDIO VIDEO YA STEVE KAFIRE ALIYOFANYA NA BEN-PAUL ITAZAME UONE SWAGA ZA RADIO PRESENTER KATIKA HIP HOP
  • STRESS ZIMENIFANYA NIINGIE STUDIO-HARD NAME
  • HUYU NDIYE MRITHI WA SHAROMILIONEA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA
  • Home
  • Advertise
  • Sitemap
  • About
  • Contact
MENU

MAWASILIANO


Kitalima Gerald
Dar es salaam,
TANZANIA.
Phone: +255 717 199 561
+255 754 220 419

Email: mpitanjialeo@gmail.com
gkitalima@yahoo.com
gkitalima96@gmail.com

Website: www.mpitanjialeo.blogspot.com

 
Copyright © MPITANJIALEO | Powered by Blogger
Design by NewWpThemes | Blogger Theme by Lasantha - Free Blogger Themes | NewBloggerThemes.com