Msanii
ambaye amepiga kambi na kufanya kazi katika Tasnia mbili kwa wakati
mmoja Hemedy kwa jina Maarufu PHD ambaye hivi karibuni ameachia Video
ya
Wimbo wake mpya amefunguka na kusema kuwa watoto wazuri wa kike
ndiyo wanamfanya aendelee kushine hapa Mjini Dar es Salaam.
“Watoto
wazuri wananifanya nizidi ku-shine hapa town”
Katika
maisha ya kawaida ya kila siku kumekuwa na mabadiliko makubwa sana
kwa watoto wa kike hata wakiume hapa mjini kwani wengi wao hufanywa
mitaji na wengine hutumika kuwatunza na kuwaweka watu mjini kwa
kuwawezesha kipesa.







0 comments:
Post a Comment