Mwanamziki Diamond Platnum karibuni
alitoa maneno akizungumza siku akifa itakuwawaje kitu ambacho kiliibua
maswali mengi sana kwa mashabiki wake ambao hawakutegemea hata siku
moja kama atakuja kusema maneno kama hayo kwa mashabiki wake kwani
yalizua mining'ono mingi sana.
Katika
kusema hayo maneno Diamond alisema ni moja kati ya nyimbo ambayo
ameiandika na inamtoa machozi kia aisikapo.
Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:
Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??
Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:
Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??







0 comments:
Post a Comment