Msanii
Msafiri Kondo alimaarufu kama Solo Thang au Travellah Leo ameachia
wimbo wake mpya unaokwenda kwa Jina la Mdudu uliofanyika Chini ya
Produza
Mesen Selector huku Mr Blue akiwa amepewa shavu katika nGoma
hiyo.
Baaada
ya kuachia wimbo huo katika Mitandao ya Kijamaa masanii Farid Kubanda
A.K.A Fid Q amefunguka na kusema kuwa katika Ma Mc Wachache Tanzania
basi SoloThang ni mmoja kati yao wanaostaili Kuheshimiwa kwa ufanisi
na Ubora uliopo katika Kazi zao.
“SOLO
THANG ni mmoja kati ya wale Ma Mc wanaostahiki HESHIMA kwa UFANISI
uliomo ndani ya KAZI zao”
UNAWEZA
SIKILIZA NA KUPAKUA WIMBO MPYA WA SOLOTHANG KUPITIA KIUNGANISHI HIKI
http://www.reverbnation.com/solothangakatravellah/song/18980870-mdudu-by-solo-thang-ft-mr-blue







0 comments:
Post a Comment