Thursday, October 3, 2013

BAADA YA KUPATA MAJANGA MCHEZAJI WA YANGA COASTAL UNION IMEFUNGUKA HIKI HAPA

Coastal Union inatoa pole kwa Mchezaji wa Kimataifa wa Dar Young Africans,Haruna Niyonzima ambaye amepata Janga la Kuunguliwa nyumbani kwake kutokana na shoti ya umeme na baadhi ya mali zake kuharibika.Pole sana Haruna Niyonzima.

0 comments:

Post a Comment