Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Zuberi Kabwe amelidhiaki bunge la kumi
la Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kusema kuwa lilikuwa bunge la
kupiga makelele...!
Mbunge
huyo alikuwa akitoa mfano kati ya mabunge yaliyopita na kusema kuwa
wakati kuna bunge la chama Kimoja kulikuwa na mijadala na katika
bunge la tisa amedai kulikuwa na mazungumzo lakini katika bunge la
Kumi kulikuwa na makele tu akimaanisha hakukuwa tena na mijadala wala
mazungumzo bali ilikuwa ni kupigiana kelele tu.
“Wakati
wa Bunge la chama kimoja, kulikuwa na mijadala. Bunge la Tisa
kulikuwa na mazungumzo. Bunge la Kumi kuna kelele”
Bunge
la Tisa minyukano ya hoja. Bunge la Kumi mipasho
0 comments:
Post a Comment