Msanii
Ney wa Mitego amekili kutishiwa maisha na watu asiowajuwa wanao
mtumia Ujumbe mfupi katika simu yake ya mkononi,jumbe nyingi
anazozipata zinahusiana na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la
Wape salamu zao.
Salamu zao ni ngoma aliyofanya Ney akimshirikisha Neyba,ngoma imefanywa kwa ushirikiano wa maproducer wawili ambae ni T-touch pamoja na Sheddy Clever.
0 comments:
Post a Comment