Msanii
Walter Chilambo alieibuka mshindi katika shindano la Bongo Star
Search mwaka jana na kupata kitita cha pesa Millioni 50 amefunguka na
kupinga kauli iliyotolewa na msanii Ney wa Mitego kuwa...!
amefulia na
hajanufaika na pesa hiyo aliyopewa kama Ushindi.
“Sina
ukaribu wowote na Msanii Ney wa Mitego hivyo sielewi anawezaje kujuwa
maisha yangu ya kilasiku”
Siku
za hivi karibuni msanii Ney ameachia wimbo unaokwenda kwa jina la
Wape salamu zao,amba kwa namna moja au nyingine amejaribu
kuwazungumzia baadhi ya watu katika nyanja mbali mbali kuanzia
sanaa,siasa hata Viongozi wa Taifa.
0 comments:
Post a Comment