Sunday, August 11, 2013

NEY WA MITEGO ALIZWA NA MAPENZI.



Msanii maarufu anaetamba na ngoma ya Wape salamu zao Ney wa Mitego ameonesha kulizwa na mapenzi baada ya kuanza kuandika Status zinazoonyesha kuacha au kuachwa na mtu wake wa karibu.
Ilikuwa jana katika Account yake ya Instagram alianza kwa style hiii


 Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966’

akiendelea kudhiilisha hilo alipokuja na ujumbe huu tena "Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2. 



Na picha likaendelea hivi "Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’
Mpaka hapo utakuwa umegundua jambo ikumbukwe kuwa siku za hivi karibuni msanii huyo alimtambulisha mchumba wake kwa jamii na siku kadhaa badae alipata mshtuko uliompelekea kupoteza ujauzito wake.

0 comments:

Post a Comment