Mkali wa Love songs
kutoka pande za Kigoma anaekimbiza na ngoma ya 'KIMUGINA' amefunguka
na kutoa sababu kwanini alikataa kufanya ngoma ya Ney wa Mitego
'Salamu Zao' ingawa walikubalina kufanya kazi pamoja.
Linex Sunday Mjeda
amesema kuwa sababui kubwa aliyompelekea kukataa kufanya ngoma hiyo
ni pamoja na kuwa na Mashairi makali ambayo kwa namna moja au
nyingine yamemchana mpaka yeye.
“ Ni kweli wimbo
mpya wa ney wa mitego salaam zao mi ndo nilitakiwa kufanya chorus
but sikufanya coz mashairi yake yalikua mazito na yananidiss had mm
so nikaona niiache ipite salaam zinipate”
Mbali na hilo mkali
huyo alifunguka kuwa kigoma All stars haijafa bali alidai kuwa
wahusika kila mmoja yupo na busy na mambo yake ndio maana watu huona
kama kundi limekufa.
“Kigoma All stars
haijafa but wahusika kila mtu yuko busy na maambo yake tunahitaji
time kufanya somthn big tena”.
0 comments:
Post a Comment