Msanii
kutoka nchini Tanzania aliekuwa amepata shavu nchi jirani ya Kenya
katika kampuni ya Groundpa, Mr Nice ameachia Video ya kwanza baada ya
kutimuliwa katika Kundi hilo mwezi uliuopita kwa utovu wa
Nidhani,matumizi mabaya ya pesa,na kutumikia ajira mbili kwa wakati
mmoja.
Mr
Nice ambae ametawaliwa na ukimya baada ya taarifa kutolewa kuwa
ametimuliwa katika kundi hilo ameibuka na Wimbo wake mpya ambao
aliufanya kabla ya kuondoka katika kundi ilo.
Akiwa
anatambulisha Ngoma hiyo Raisi wa Grandpa amemtakia mafanikio mema
katika kazi yake ya muziki popote alipo Mr Nice.
http://
0 comments:
Post a Comment