![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' akipokea Tuzo |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akipokea tuzo ya mchezaji bora
chipukizi Sure Boy aliungana na Mecky Mexime wa Mtibwa aliyetwaa tuzo ya kocha
bora.
Amri Kiemba aliyetwaa
tuzo ya mchezaji bora, na Husein Shariff Kasilas aliyetwaa tuzo ya kipa bora.
Tuzo ziliandaliwa na Sputanza wakishirikiana na TFF chini ya
udhamini wa pepsi







0 comments:
Post a Comment