Tuesday, May 14, 2013

WAGONJWA WA AKILI WATOROKA HOSPTITALI



Polisi wanawatafuta wagonjwa 

karibia arobaini waliotoroka kutoka      

hospitali 

ya watu wenye matatizo ya kiakili, 

mjini Nairobi ya Mathare. Wagonjwa 

hao 


wanasemekana waliwashinda 

nguvu walinzi wao na kutoroka.

Zogo hilo lilizuka katika hospitali ya Mathare baada ya kutokea hali ya sintofahamu iliyowahusisha wafungwa arobaini wanaume.
Baadhi ya vyombo vya habari vinasema kuwa wagonjwa hao walikuwa wanateta kuhusu hali mbaya na kibinadamu katika hospitali hiyo.

0 comments:

Post a Comment