Kocha
wa Manchester City ROBERTO MANCINI ametimuliwa kibarua chake baada ya
kushindwa msimu huu
MANCINI
ametimuliwa kibarua chake baada ya mwaka mmoja toka kushinda Premier
League kwani mnamo Tarehe 13 May 2012 Manchester City walishinda
ubingwa wa Ligi hiyo na Tarehe hiyo hiyo na Mwezi Huo huo mwaka 2013
wamemtimua Kazi Kocha aliekuwa akikinoa kikosi cha Manchester City
Hivyo ni Tarehe 13 MAY inapaswa kukumbukwa sanaa kwani ni historia
katika Club hiyo ya Manchester City.
Kutokana
na kufukuzwaManchester City, Mancini atalipwa pauni milioni 7
kwa
kuwa mkataba wake na klabu hiyo ulikuwa na miaka mitatu mbele.







0 comments:
Post a Comment