Friday, May 17, 2013

TID AVUNA MATUSI,APUUZWA NA KUBATIZWA MAJINA YA AJABU BAADA YA KUSEMA HATA FANYA SHOW YA LADY JAYDEE.


Baada ya msanii wa muziki TID kutangaza waziwazi kuwa hatashiriki katika show ya miaka 13 ya mwanamuziki Lady jaydee itayofanyika siku ya ijumaa ya Tarehe 31 May mashabiki wa TID wamemshushia Matusi,maneno ya kejeri na kumpuuza kabsa na kumwita msaliti kwani sababu alizozitoa hazina msingi wowote ule.

Hizi ni baadhi ya COMMENT ZILIZOANDIKWA KWA TID.

0 comments:

Post a Comment