Msanii
wa maigizo na Tamthilia nchini Natasha ambae pia ni MAMA Mzazi wa
Msanii wa Maigizo Monalisa hivi karibuni alivalishwa pete ya Uchumba
na kutalajia kufunga Ndoa siku za mbeleni.
Natasha
akifunguka hayo leo katika kipindi cha Redio leo amesema kuwa
anafurahia hali ya kuwa mchumba wa mtu na kutarajia kufunga ndoa siku
za usoniii alipohojiwa kuwa mwanae Monalisa amelipokeaje suala hilo
alisema kuwa mwanae amefurahi sanaa kuona MAMA yake anafunga ndoa na
kuwa mke wa mtu sasa.
“'Kiukweli
mwanangu anakuwa na furaha kusikia Mama yake nataka kugunga ndoa tena
yeye amekuwa akinitania kwa kuniita jina la BI Harusi mtarajiwa”
amesema
kuwa atafanya send off na kitchen Partry siku moja ambao yeye ameipa
jina siku hiyo kuwa ni NATASHA NIGHT ataitumia siku hiyo kupata
mafunzo ya kuishi vizuri na Mumewe pamoja na kuanza maisha mapya
akiwa katika ndoa,mbali na yote hayo Natasha anahofia kufundwa na
Bichau japo anahitaji sana elimu hiyo ili impatie mwanga mzuri wa
kuishi katika ndoa.
Jambo
ambalo limekuwa geni kwangu ni kusikia kuwa MAMA wa MoNALISA alimzaa
mwanae huyo Monalisa Akiwa na umri wa miaka kumi na miwili.
Na
sasa wanaonekana kama mtu na rafiki wakiwa pamoja au kama mtu na
mdogo wake kwa namna wanavyoonekana na kupendezana .







0 comments:
Post a Comment