Mambo
yalipoanza kubadilikia kidogo wengi wao waliendelewa kujipa moyo kuwa
inawezekana mambo yatabadilika na watakaa sawa,ni kweli katika maisha
huwa kuna kupanda na kushuka hivyo wengi waliona ni kawaida mno hasa
kwa Mchezo wa Mpira,hali hii haikuwakatisha tamaa bali iliendelea
kuwajaza imani kuwa watakaa sawa na kuwa Fiti kama ambavyo walikuwa
imara.
Kwa
upande wa Klabu ya Arsenal ndiyo ilionekana kuwa Kiraza maana wao
kichapo na Maumivu ndio yalikuwa maisha yao ya Kila siku hivyo hali
hiyo iliwafanya mashabiki zake kukubaliana na hali hiyo na kuendelea
kuipenda Arsenal ingawa muda mwingi wanakuwa na Maumivu kuliko
furaha.lakini wazi kwa sasa Mashabiki wa Manchester United ndio
wanaumia zaidi maana wao hawakuzoea Maumivu halafu vialbu vingine
vinaendelea kuwaumiza kudhibitisha hili Tizama maoni ya wadau wazuri
wa Man United wakifunguka baaada ya Jana kupigwa Gori moja
Salama
Jabir :Ngumi Ilizochezea Mito Yangu Jana Wakati Naangalia
Football Kungekua Na Mtu Ingemuomba Anipeleke Polisi. Maisha Gani
Haya?!
Salama
Jabir: Kuna Gharika Meli Imetoboka Na Mvua Inazidi
Kunyesha...Asante Moyes!Maisha Yangu Yanazidi Kuwa Rahiiisi Kabisa.
KLMY Wewe Na Macho Yako!
Red
Son: Hahahahaha I just give you Ushauri Na-saa. U may just
take the watch and continue to lay down on ya sofa Lo
Godfrey
Mwaibindi:UVUMILIVU.....si jambo lakawaida aisee,napenda
kuwapongeza fans wote wa Arsenal kwa uvumilivu waliouonesha kwa muda
wote ambao kufungwa fungwa ovyo ilikuwa sehemu ya maisha
yao,unahitaji kuchomwa sindano ya ganzi ili uweze kuvumilia vichapo
hivi vya sasa vya Man U na Moyes wake..its pain aiseeee,poor Man
U
..,.............................GGM.....................................
0 comments:
Post a Comment