Kocha
mpya wa Simba, Zdravok Logarusic, raia wa Croatia amesaini Mkataba na
Timu ya Simba chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba
Zacharia
Hanspope ambaye ni Mmoja kati ya Wajumbe wa kamati ya
Utendaji ambayo ndiyo inalalamikiwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo
Ismail Aden Rage.
0 comments:
Post a Comment