Msanii Walter Chilambo
ambaye alipatikana Mshindi wa BSS 2012 amekubaliana na kile msanii
Ney wa Mitego amekiimba katika nGoma yake ya Salamu zao.
Ney wa Mitego aliachia
Wimbo unaokwenda kwa jina la salamu zao ambapo ndani yake alikuwa
akifikisha ujumbe kwa wausika juu ya mambo yao ambayo yeye anaona
hayapo sasa kwa upande wao.
“katika maisha ya
kawaida siku zote ukweli unauma pale ujumbe ukimfikia muhusika, Napenda kusema kwa watu wote ambao salam ziliwafikia basi na majibu
yao yalijibiwa ukitizama Madam Ritha,Mh:Zitto Kabwe ni watu walijibu
salam .
lakini pia Mdogo wangu Walter naye amejibu salamu na "kusemaa kaka kila unachoongea
niukweli hakuna chauwongo"
haya ni maneno ya walter chilambo aliongea
tukiwa katikia harakati zetu za kimziki pia alisema yupo tayari
kujiunga mkong'oto hayo ndiyo maneno ya mdogo wangu walter mimi
na mkaribisha sana tena sababu ni msani mzuri anajua pia ndio maana
nilisema sina tatizo na mtu hizi ni salam tu inatubidi
tuishi peace.
(Source:Ney True Boy)







0 comments:
Post a Comment