Jijini
Mwanza jana Mganga mmoja amekamatwa na Kiganja cha Mkono wa Binadamu
kikiwa ni kibichi kabisaa katika Begi lake ambapo inasadikiwa alitaka
kukiuza kwa Gharama za millioni 100 .
Kwa
Mujibu wa shuhuda wa Tukio Hilo amedai kuwa watuhumiwa hao
walikamatwa karibia na Uwanja wa Ndege wa Mwanza wakitaka kufanya
Biashara hiyo.
“Wamekamatwa
karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza, walikuwa wanauziana kwa
pembeni, watu na Polisi wakawakurupusha na kuwakamata wakawapekua
wakakuta mteja ana 100 million na mganga ana kiganja ambacho bado
kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za binadamu.”
Source:Jamii
Forums







0 comments:
Post a Comment