Tuesday, October 29, 2013

LADYJAYDEE AMCHANA WAKAZI KUWA NI SINICHIIII

Mwanadada ambaye amebahatika kupata AKA nyingi kutokana na umahiri wa kazi zake mbalimbali na maisha anayopitia kila siku ambaye kwa sasa anafahamika
kama Anna Conda amefunguka na kumchana mwanamuziki Wakazi kuwa ni Snichiii.
 
Mchano huo umeshushwa kupitia mitandao ya kijamii ambapo Lady Jaydee alikuwa akimuuliza moja wa rafiki yake kuhusu mtoko wa jioni na mambo yalikuwa kama hiviiiii.

0 comments:

Post a Comment