Katika maisha ya kawaida kumekuwa na changamoto nyingi katika kila jambo mtu unalokuwa ukifanya,lakini kama mambo yatakuwa yanakwenda vizuri kila siku,naamini huwezi kukua katika jambo hilo.
lakini pale unapokutana na changamoto mbalimbali na kuweza kufanikiwa kukabiliananazo na kuzishinda au hata ukishindwa utakuwa umepata funzo.
katika kuliona hili Chief Judge wa BSS Madam Rita Paulsen ameamua kutumia nafasi yake kutoa ujumbe kwa watu wapitiao changamoto katika maisha ya kila siku .
"Hata kama siku yako, mwezi wako au mwaka wako umekuwa mbaya kiasi gani, kamwe usikate tamaa...."







0 comments:
Post a Comment