Thursday, August 29, 2013

ASKOFU MKUU AFARIKI DUNIA.

Askofu Mkuu wa kanisa la Evangalistic Assemblies of God Tanzania Moses kulola amefariki dunia leo jijini Dar es salaam alipokuwa amepelekwa kwa matibabu.
kwa mujibu wa ndugu na rafiki wa karibu wa familia ya Askofu huyo walisema kuwa Askofu huyo amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu toka ameanzaa kuuguwa.

0 comments:

Post a Comment