Mshambuliaji
matata Mbwana Samatta ambaye Juzi aliiwezesha Kilimanjaro Stars
Kushinda gori moja dhidi ya Burundi katika Mechi ya Mwisho ya Makundi
amefunguka na kuweka wazi kuwa Kuna Timu nyingi za Ulaya Zinamuhitaji
kwenda kuzichezea.
Mshambuliaji
huyoambaye kwa sasa katika Kikosi cha Kilimanjaro Stars amesema kuwa
hatakuwa na muda Mrefu atatimuka na kwenda kutoa huduma wanayoihitaji
ya soka katika Vilabu hivyo ingawa hakutaka kuweka wazi Klabu ambazo
zinahitaji huduma yake huko Ulaya kwa sababu ya Kuheshimu Mkataba
wake na TP Mazembe.
"Ningekutajia
klabu na nchi inayonihitaji, mimi bado nina mkataba na TP Mazembe na
huwa haituruhusu kuongea na vyombo vya habari masuala ya mikataba
yetu. Nikifanya hivyo nitachukuliwa hatua ila kweli ninatakiwa na
klabu kubwa nje ya Afrika,"







0 comments:
Post a Comment