Msanii
kutoka kundi la Weusi Kampuni Niki wa Pili ambae ni mdogo wa Joh
Makini amefunguka kuwa msanii Albert Mangwear ana nyimbo zake katika
studio mbalimbali ambazo zinaweza kutengeneza Album ambayo inaweza
kumnufaisha Mama Mzazi wa marehemu.
Niki
wa Pili amesema zikikusanywa kazi hizo wasanii waungane wafanye Tour
nchi nzima na mapato yatayopatikana katika show hizo na Album apewe
moja kwa moja mama wa marehemu Albert Mangwear.
Wazo
wa Niki wa pili limechukuliwa kama wazo la msingi na baadhi ya watu
japo wamekuwa na wasi wasi kama Uaminifu usipokuwepo katika zoezi
hilo kama linaweza fanyika kama ambavyo imekuwa proposed na Nick wa
Pili.







0 comments:
Post a Comment