![]() |
| king of pop michael jackson |
Nyaraka za muziki wa aliekuwa mfalme wa pop duniani Michael
Jackson zimeibiwa katika studio za kampuni inayojishughulisha na masuala ya
muziki na wasanii iitwayo sony music.
Nyaraka hizo zimeibiwa kwa njia ya wizi wa kimtandao kutumia
teknolojia ya computer na internet, kampuni ya sony music ilisaini mkataba na
jacksons’ estate mwaka 2010,yaani ni
mwaka mmoja tu baada ya kifo cha mfalme wa pop duniani alietamba sanaaa na
kibao cha thriller.
Mkataba huo ulikua ni kutoa albums 10 zitakazo jumuisha
nyimbo zilizokwisha tambulishwa katika tasnia hii hapa ya burudani na vyombo
mbalimbali vya habari zikiwemo thriller,A place with no name,this is it,nk vile
vile nyimbo ambazo bado mpya hazijasikika masikiono mwa watu zitakuwepo
katika mfululizo wa hzo album 10.







0 comments:
Post a Comment